Huu waraka una maana gani?

Huu waraka una maana gani?

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Wataalam wa hizi kazi naomba maana ya kilochoandikwa kwenye picha hii.
Hili karatasi nimeliokota jirani na mlango wa chumba changu

Asanteni
20230926_162515.jpg
 
😂 vita imeanza kivumbi kimekufikia,amani uliyonayo mbioni kuponyoka,mafundi wa ulimwengu wanataka wakuonyeshe ufundi wao!.
Upo kwenye ww3
 
Siumeona picha hapo mkuu umechorwa ??mm naona kama hufanananii na yyto hapo pichani basi ujumbe utakuwa haukuhusu.
 
Hilo ni takataka tu limepeperukia karibu na mlango wako. Ukianza kufuatilia mambo kama hayo ndio kila kitu utaona umetegewa,na ukikaa akilini kila kitu utakuwa unatafuta tafsiri. Mimi hata ndoto tu naonaga ni ndoto tu wala sizitafutiagi maana. Endelea tu na maisha yako kawaida piga maombi
 
Nimeisoma Kwa makini hiyo karatas
Daaa! Kusema ukweli pole sana.
ila jitahidi kunywa maji ya kutosha kula matunda, Fanya mzoezi na acha kufatilia mambo yasiyo kuhusu utaepukana na huo mtego wao.
 
Back
Top Bottom