Huu wimbo mpya wa WCB ft Diamond quarantine wamekopi hapa??

Tumekusikia Sarah wa konde boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya kwanza kuisikia karantini alivyoanza kuimba tu mi nikaropoka msela sio mchafu msela ni msafi ,Nashangaa anaimba vitu vingine [emoji2] mimi naiona kama Ngoma ya Msela ya Wateule
 
Mmetuchosha na nyinyi wa kuibiwa si mlinde Mali zenu kila siku mmeibiwa beat mtakuja muibiwe na vichwa kabisa...
 
Kaangalie you tube sasa una wimbo unaviewers wangapi, afu useme hizo bakora upigwe wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…