Huu wimbo una maana gani?

Huu wimbo una maana gani?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Kuna wimbo nausikiliza hapa, huwa naupenda sana ingawa sina hakika umeimbwa na nani na bendi ipi ya zamani. Sijui ni Mbaraka Mwishehe (Ndiye mwanamuziki wa zamani ninayemfahamu)

Una maneno yanaimba

"Mapenzi yananivunja mgongo ooh mie..
Silali naumwa mgango.
ooh ooh mie...

Sijawahi kuelewa mwambaji alimaanisha nini... Mapenzi yanamvunja mgongo!!!!

Kama kuna anayemwelewa naomba anijuze nami. Pengine wanamuziki wa zamani walikuwa wanatumia sana mafumbo...
 
Ina maana kila siku anafanya mapenzi, na hana nafasi ya kupumzika!...
Zamani ilikuwa nguvu zako tu(za mwili si za pesa), hujiulizi saaana kama siku hizi!
 
Back
Top Bottom