Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
wakawaida sana...
Unawaogopa wanao badala ya wao kukuogopa wewe?
inategemea na maadili waliyomao
anayotegemea watoto wake wawe nayo
Wana JF, kuna huu wimbo wa kiduku (Aladji) sijui kama nimepatia jina lake, kwa maoni yangu hauna maadili ya kitanzania ingawa unarushwa laivu kwenye Ma TV.
Kuna siku nimekaa sitting room na watoto ukaanza kupigwa ikabidi nitokomee chumbani maana ni aibu. Hivi kwa nini baraza la sanaa lisiupige marufuku kuonyeshwa kwenye TV?
watoto wa siku hizi sio wa ndiyo mzee bora alijiondokea kwani wangemtaka awape sababu za kurisha za kuwazimia tv wakati wanahaki ya kuiangali vinginevyo angekuwa na kazi ya kuwaelewesha ubaya wa wimbo huoSasa kutokomea chumbani nakuacha watoto wanaendele kuangalia ndo maadili gani uliwafundisha. Bora ungezima au kubadilisha channel wangejua si kitu kizuri.
watoto wa siku hizi sio wa ndiyo mzee bora alijiondokea kwani wangemtaka awape sababu za kurisha za kuwazimia tv wakati wanahaki ya kuiangali vinginevyo angekuwa na kazi ya kuwaelewesha ubaya wa wimbo huo