Nimemsikikia masoud masoud wa tbc tajfa. Akitoa maana yake
Kuwa hyo nyimbo ya eloko anasifia magwiji wa muziki wa kikongo waliotangulia kuimba na kusema kuwa hao. Magwiji kina Franco wamefanaya Kaz kubwa kufikisha mziki wa rumba mpk Happ na sas wao wanauendeleza tu
Hyo ndio maana yake
Wimbo wote huuo anautukuza muziki na wanmuziki wa kikongo wa rumba