Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Habari za wkend,
Jamani kuna huu wimbo unaitwa AFRO wa les Wanyika mwenzenu unanichanganya sana. Kila niusikiapo natamani ninyanuke nicheze.
Na nyie wenzangu nyimbo gani ya zamani inawagusa?
kuna mmoja wa moro jazz, unahusu kijana aliyekuja mjini juzi afu anajifanya mjanja. Mwishowe akapigwa na watoto wadogo.
Hata, ule wa medsenja kaleta balaa nyumbani kwa meneja bila kufahamul
mama nipe nauli nikamtafute monica, amekimbilia zambia ...
Habari za wkend,
Jamani kuna huu wimbo unaitwa AFRO wa les Wanyika mwenzenu unanichanganya sana. Kila niusikiapo natamani ninyanuke nicheze.
Na nyie wenzangu nyimbo gani ya zamani inawagusa?
Hapa Kongosho ndo umechagua wimbo wa ukweli....naupenda kuliko yooooootebaba jeni bai bai, watoto watateseka mume wangu baba jeni bai bai