Habari za wkend,
Jamani kuna huu wimbo unaitwa AFRO wa les Wanyika mwenzenu unanichanganya sana. Kila niusikiapo natamani ninyanuke nicheze.
Na nyie wenzangu nyimbo gani ya zamani inawagusa?
Bakulutu,
Huyo ngereza alikuwa mbongo?
Kumbe mzee umo na enzi hizo...Embe dodo......umekwisha potea, kwa kunywa chang'aa, majengo siendi tena.....harambee, harambee!
Kuna wimbo sijui unaitwaje na umeimbwa na nani, nasikia tu neno "FATIMATA". Anaeujua umeimbwa na nani?
na huu pia hunikuna
'mtoto akililia wembe acha umkate . . .'
nadhani wa remmy
Kuna wimbo sijui unaitwaje na umeimbwa na nani, nasikia tu neno "FATIMATA". Anaeujua umeimbwa na nani?
Kuna wimbo sijui unaitwaje na umeimbwa na nani, nasikia tu neno "FATIMATA". Anaeujua umeimbwa na nani?
Embe dodo......umekwisha potea, kwa kunywa chang'aa, majengo siendi tena.....harambee, harambee!