Jamani kuna wimbo sikumbuki unaitwaje (ila nadahani sijui BABA PAROKO) na kaimba nani ila baadhi ya beti zake ni hizi; naleta mashtaka kwako baba paroko........., ni wiki sasa mke wangu hatuongei......, nanyimwa haki yangu ya ndoa....., nikimgusa napigwa kipepsi....
Sikujua kama humu ndani kuna wazee wengi kiasi hiki. Shikamooni wakubwa