Kwitogelo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 310
- 442
Mdogoangu Chibu umeyakanyaga kwa hasira zako za kupigwa moja pointi saba bilioni na wewe ukaamua kuwasema kiaina hivi na kusahau kwamba na huko utawalani kuna watu wenye miakili mingi kama wewe au hata wakakuzidi kabisa kiakili?
Anyway, umetuwakilisha vizuri sisi walala hoi kumsema Zuena huenda akaacha kujichubua na kuzitunza vizuri mali za urithi.
Nakushauri andaa vizuri na mapema kabisa wanasheria wako.
Anyway, umetuwakilisha vizuri sisi walala hoi kumsema Zuena huenda akaacha kujichubua na kuzitunza vizuri mali za urithi.
Nakushauri andaa vizuri na mapema kabisa wanasheria wako.