U UWOGA=UMASKINI JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 2,399 Reaction score 1,014 Jan 17, 2016 #1 Hivi inakuwaje umegombana na mkeo very strongly halafu umatoka kwenda kutumia sehemu unakutana na demu mkali ZAIDI ya mkeo na anakunyenyekea balsa huwa inakuwaje au unaweza chilukua uamuzi gani
Hivi inakuwaje umegombana na mkeo very strongly halafu umatoka kwenda kutumia sehemu unakutana na demu mkali ZAIDI ya mkeo na anakunyenyekea balsa huwa inakuwaje au unaweza chilukua uamuzi gani
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,644 Reaction score 3,880 Jan 17, 2016 #2 Mmh em andika kwanza vizuri maana umekosea kosea utafikir.........
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,375 Jan 18, 2016 #3 Unaweza Chilukua maamuzi magumu tu ndugu yangu, hakuna namna!
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Jan 18, 2016 #4 Tamaa tu hizo wakati unaoa hukujua kuna mademu wakali. Huenda ikawa huyo anayekunyenyekea ameshajua unastress ndio mana anacheza na akili yako.
Tamaa tu hizo wakati unaoa hukujua kuna mademu wakali. Huenda ikawa huyo anayekunyenyekea ameshajua unastress ndio mana anacheza na akili yako.
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jan 18, 2016 #5 Na unaweza.kumwona mkali kwa sababu wako mmeshatibuana
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jan 18, 2016 #6 Muda huo kichwa cha chini ndo kina maamuzi hata akipita mbuzi mbele yako utaona ana shape flani matata....
Muda huo kichwa cha chini ndo kina maamuzi hata akipita mbuzi mbele yako utaona ana shape flani matata....
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 Jan 18, 2016 #7 Nitaona ananiletea shobo tu mimi stimu zangu zitakuwa mbali
mkwepu jr JF-Expert Member Joined Apr 20, 2014 Posts 558 Reaction score 1,024 Jan 18, 2016 #8 Itakuwa balsa huwez chukukua Yale chilukua na yeye