St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Ukiziona umkumbuke.
umenisaidia hata mm maake hata mie mpenzi wangu mara aache suruali,mara skin tight,mara kitopo ndio aende chuoni...nilikua naogopa kumuuliza maake hachelewi kushuku eti na-mcheat.........
ha, sasa hata akija mwingine si unaweza kuificha, then akiondoka unairudisha sehemu ilipokuwa, as simple as that. hao akili zao haziwatoshi!
patamu aje mwingine na yeye aache zake siku uje uzimix..................
mhhh kwani nyie mnaachaga nini mkienda kwa mademu zenu:sick:
ladies kuacha nguo kwa wanaume wanaona kuwa ni security, na kama umechunguza wanaweka mahali ambapo sio pa kufichika sana. hii ikiwa na maana kama kuna mdada mwingine ataingia ndani ajue kuwa mji una mwenyewe. sasa ukitaka ugomvi hamisha kaifiche chini ya boksi asiikute alipoiweka, kwao ni kielelezo cha kuwa una mwanamke mwingine ndo mana umeficha.....
Patamu aje mwingine na yeye aache zake siku uje uzimix..................
duh,wanawake wote wanafanana...