Huwa kuna haja ya kuendeleza mahusiano ya one night stand ??

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake

Nashangaa kuna watu wanayaendelesaga hata mahusiano
 
Ni kweli ukishampa hela yake hujamtapeli basi block faster namba unless km unatarajia kurudi tena huko maybe alikunogesha kwa kukupa chijo la kiseng bao refu [emoji41]
 
Binafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake

Nashangaa kuna watu wanayaendelesaga hata mahusiano
Yataendelea iwapo wote yenu ni financial independent
 
Back
Top Bottom