Habari yako Gemini mwenzanguInategemeana... ikiwa udambwi udambwi upo kupasha kiporo kupo na hata kuyaendeleza kabisa.
Yataendelea iwapo wote yenu ni financial independentBinafsi haya mahusiano nayachukulia zaidi kama hitaji la kupooza tamaa za mwili tu, usiku mpeane company, mpigane mitutu, asubuhi muagane kila mtu aendelee na life lake
Nashangaa kuna watu wanayaendelesaga hata mahusiano