Huwa mnadeal vipi na watu hawa

Alafu pia ni aibu kwa mwanamke ambaye umemuoa kukujia na style mpya ambay wew umekaa nae kwa miaka 7 na huifahamu ..... Mwanaume ndo INATAKIWA uwe mbunifu kwa mkeo ...wanawake huwa wanachoka kuludia style ZILE ZILE tu Tena kwa miaka 7 aseeeeee hapan
 
Mkuu unachezea bahati sana. Huyo mwanamke anakupenda sana. Ni nadra sana kukutana na mtu anekupenda hivyo. Ungemkalisha chini ukamueleza vzr angekuelewa.

Ngoja umpata ambae hana muda na wewe kabisa utamkumbuka.

Anyways nipasie namba yake mkuu kama hutojali
 
Inaboa ,inachosha.

Nilishawahi kumpata wa hivyo nikamlamba block moja matata sana.
 
Hukumpiga mashine vizuri wewe
Anaona ana deni na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…