Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 456
- 1,003
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asantee ndugu yangu vipi Airtel hawana hii hudumaOkay hapo inahitaji ujaza taarifa za kadi yako (visa/mastercard) sio vyema kutumia ya benk ambayo hutumia na kuhifadhi pesa mara kwa mara
Hivyo suluhisho bora na ninalotumia ni voda visa card piga *150*00# kisha changua lipa kwa M-pesa (4) kisha 7 voda visa kisha tengeneza kadi, alafu weka pesa kwenye kadi (rudia mchakato na baada ya kuchagua 7 then weka pesa) baadaya ya hapo pesa itahamishwa kutoka M-pesa mpaka kwemye card last rudia mchakato na chagua taarifa za kadi screenshot ili ubaki nazo kisha jaza hizo taarifa hapo kama namba ya akaunti, security code (huaga ni tarakimu 3 ) expire date (hua ni muda wa mwisho wa uhai wa kadi yako (virtual card))
Malizia kwa kununua
Naomba kujua... ivii ukisha unganisha kadi yako ya mtandao (vodacom mastercard tigo, airtel...) na PayPal huwa kuna makato yanayokatwa pale unapofanya manunuzi mtandaoni.. kama wanavyokataga au huwa kuna uafadhali? AndaziOkay hapo inahitaji ujaza taarifa za kadi yako (visa/mastercard) sio vyema kutumia ya benk ambayo hutumia na kuhifadhi pesa mara kwa mara
Hivyo suluhisho bora na ninalotumia ni voda visa card piga *150*00# kisha changua lipa kwa M-pesa (4) kisha 7 voda visa kisha tengeneza kadi, alafu weka pesa kwenye kadi (rudia mchakato na baada ya kuchagua 7 then weka pesa) baadaya ya hapo pesa itahamishwa kutoka M-pesa mpaka kwemye card last rudia mchakato na chagua taarifa za kadi screenshot ili ubaki nazo kisha jaza hizo taarifa hapo kama namba ya akaunti, security code (huaga ni tarakimu 3 ) expire date (hua ni muda wa mwisho wa uhai wa kadi yako (virtual card))
Malizia kwa kununua
Ukiwa na kadi unaweza tumia moja kwa moja bila paypal ila kuna fee ila kuna fee kidogo sio kubwaNaomba kujua... ivii ukisha unganisha kadi yako ya mtandao (vodacom mastercard tigo, airtel...) na PayPal huwa kuna makato yanayokatwa pale unapofanya manunuzi mtandaoni.. kama wanavyokataga au huwa kuna uafadhali? Andazi
Wanayo ila shida ambayo imefanya nisitumie airtel mastercard ni kuwa ipo direct connected to AirtelMoney hivyo hata ikitokea ukanunua kwenye tovuti ya kitapeli wanaweka kata pesa moja kwa moja kwenye Airtel Money yako kama zipoAsantee ndugu yangu vipi Airtel hawana hii huduma
Asantee kakaWanayo ila shida ambayo imefanya nisitumie airtel mastercard ni kuwa ipo direct connected to AirtelMoney hivyo hata ikitokea ukanunua kwenye tovuti ya kitapeli wanaweka kata pesa moja kwa moja kwenye Airtel Money yako kama zipo
Tofauti na Voda ambapo kiasi ulichohamishia kwenye kadi ndio kinaweza kukatwa
shukraniUkiwa na kadi unaweza tumia moja kwa moja bila paypal ila kuna fee ila kuna fee kidogo sio kubwa
Hapo ni kuweka CVV na mwezi na mwaka wa kuexpire kadi.
Kama una NMB waweza enda tawi lolote wakutengenezee Kadi kwaajili ya online pekee.
Hii kadi haipo connected na akaunt yako, so inabidi uiweke pesa. Na ukitaka kutoa pesa unatoa kwenye atm kama kawaida