Huwa naenjoy kusoma yaliyo andikwa nyuma ya daladala........

Mtoto mtundu,hachagui mchezo.

Pata tujue tabia yako.


Ukiikumbuka njoo tena.


Kujamba sauti,haruf ni pua yako.


Ngumi hujui,mbio huna hata mkwala?
 
Kwa mara ya kwanza naingia jiji la tanga nakutana na hii "tofautisha kati ya mende na tende" wenyeji kama mpo humu hii maana yake nini
 
1.Sukari yao.
2.Jiko la jeshi halichagui kuni.
3.Gilette.
4.Jibu gumu.
5.Aufuataye m'buruzo wa chatu humezwa.
6.Usifuate nyayo za simba.
7.Mwanaume haombi pesa anaomba kazi.
 
Kumbe aliekuambia nae kaambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…