msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Kuna sehemu mbezi niliona bajaji imeandikwa hivyo,,,,nikacheka sana ,yani bajaji inataka ikikuwa iwe scaniaDaaah! Nimecheka sana "when I grow up I wanna be a scania"
[emoji23] [emoji23] hii imekaa kikatili sana.Tafuta pesa mkeo aninunie..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dela jipya chupi ya zamani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dela bila chura sawa na kanzu...
[emoji2]Dela jipya chupi ya zamani
Anamsema jiwe huyu" cheo chako mbinguni hakipo".