William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Hii Corona ukiifikilia kwa undani ipo na Siri kubwa. Kwa wanaotafakari kwa undani lazma wajiulize hivi ilikuwaje. Mara Waziri wa afya Uingereza kaugua korona, kidogo Waziri mkuu oh Mara imeingia ikulu ya Marekani. Kwa wataalamu wa Mambo huwenda ilikuwa sio kwa bahati mbaya ili ionekane wazi kuwa Corona inapiga Hadi wakubwa.
Kuna Viongozi ambao Magharibi haiwataki ama kwa udicteta walionao au misimamo mikali au kutotabilika kwao.
Baada ya korona kuingia malkia wa Uingereza na mumewe wapo karantine ili kuwakinga na watu wengine wasiugue korona.
Tuendelee kufikilia pamoja je ilikuwa na ubaya gani kwa viongozi wa kwetu kufanya ivyo. Je unajua kwanini walifanya hivyo!? Je wangesubiri 'corona' iingie waliko ili iondoke na mtu.
Corona ilikuwa kizungumkuti na isiyoeleweka wangeweza kufanya lolote kwetu kisa korona.
Sijui ingekuwaje Kama tungeendelea kuwa na kupulizia dawa Magari, maduka na mitaani. Kiongozi aliona mbali kwani baada ya kuzuia upulizwaji dawa NI ukweli kesi za vifo vilipungua!!!
Je, ilikuwa korona tu au kitu kingine kiliongezwa nyuma ya pazia na kwa udogo wa sayansi na teknolojia tungekubali kuendeshewa nao tungekuwa wapi!?
Kenya baada ya kuendeshewa wanavyotaka wazungu ikiwa NI pamoja na kuwafanyia wakenya majaribio ya dawa za kutibu korona zinazotiliwa Shaka na WHO, Kama klolokwini, dawa za ebora na arv kwa kupitia madaktari wao ambao watashirikiana na madaktari wa Magharibi na hivyo kukubari kuhatarisha maisha ya wenzao kwa kuzingatia kuwa dawa zitakazotumika ktk utafiti zitatokea uzunguni na mwenye uhakika NI dawa tajwa ndizo zitakazotumika au zitachomekwa dawa mpya kutoka ulaya na kufanyiwa majaribio bila wakenya kujua NI Nani!??
Kuna vitu vingi vinafaa kwa wapinzani kujenga hoja kuelekea uchaguzi Ila inshu ya korona kwa kiasi kikubwa kiongozi wetu alijitahidi kutumia Akili kubwa kwa kuzingatia nchi yetu NI masikini na sayansi yetu ilikuwa ndogo Sana.
Kuna nakisi za bajeti, mishara ya watumishi wa Uma na secta binafsi, mama lishe, wafanyabiashara, mifuko ya hifadhi kukawiza malipo na ishu nyingi za msingi. Usindikaji wa mazao ya vyakula na nyongeza dhamani ya bidhaa hizo Kama unga, mchele na kadharika. Wafanye tafiti hapo wake na Sera za kimaendeleo so kusimangana na kudili na matukio.
Mi nazani upinzani bado unashida ya kupanga karata zake vizuri. Bado wanataka kupata sapoti kwa watu. Ivi kimkakati wangeweza kusisia bunge au kuweka vurugu wakati wakulima wa korosho wanakaa miezi zaidi ya sita bila kulipwa fedha zao na kushinikiza walipwe. Au kumpinga watumishi wa umma kutowekewa increment zao ambazo zipo kisheria mwezi kila mwezi wa Saba. Au wakati wakulima wa pamba wanakopwa fedha zao za mazao. Ila wanakuja kutoka nje kumpinga vitu ambavyo mtu wa chini huku haelewi shida NI NIni NI kuonekana wakorofi tu.