Wakuu salamu kwenu,mara paaap mshahara umeingia, nachukua kiasi kadhaa cha pesa kinachotosha kuhudumia familia kwa chakula kwa takribani siku 30 nampatia wife anunue mazagazaga ya nyumbani halafu mimi nabakia huru na mwepesii nikiwaangalia tu wanangu wakiruka kamba na kupishana msalani!!Huwa nakuwaga na amani sana baada kutoa hyo huduma kwa familia yangu!!Vipi wanaume wenzangu nanyi huwa mnajisikia kama mimi au wengine mnaona km usumbufu au ni mzigo!
NB: Uzi huu ni wa wanaume wenye majukumu ya kifamilia kama wewe ni mvulana pita mbali!!