Huwa nashangaa kwanini Wasanii Wote wako CCM badala ya CHADEMA Kwa Freeman Mbowe nguli wa Burudani ya Kizazi Kipya?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hili jambo huwa linanishangaza kidogo kwa sababu CCM ni nguli wa Muziki wa Jazz, Kwaya na Ngoma za Kienyeji

Zamani huwezi kuwa mjanja wa Mjini kama hutimbi Mbowe Hotel baadaye Billicanas

Watoto wa Mjini ndio waliendaga Amana Social Hall kwa akina Msondo

Kuna tofauti Kati ya Wajanja wa Mjini na Watoto wa Mjini mfano Mbowe na Pedeshee Amos 😄

Ahsanteni sana
 
marekani ni nchi yenye kila aina ya ushetani ila watu wa mataifa mbalimbali wanakimbilia huko

Discuss
 
Kwenye shibe na njaa utaenda wapi mtoa mada?
 
Bwashee TOT wameishia wapi maana siku hizi Nasibu anapokelewa kama Mwenyekiti wa Chama.
 
Hili jambo huwa linanishangaza kidogo kwa sababu CCM ni nguli wa Muziki wa Jazz, Kwaya na Ngoma za Kienyeji

Zamani huwezi kuwa mjanja wa Mjini kama hutimbi Mbowe Hotel baadaye Billicanas

Watoto wa Mjini ndio waliendaga Amana Social Hall kwa akina Msondo

Kuna tofauti Kati ya Wajanja wa Mjini na Watoto wa Mjini mfano Mbowe na Pedeshee Amos 😄

Ahsanteni sana
Mmebaki mnatafutiza baada ya dua lenu kufeli, hamna cha kuisema chadema.
 
Mpumzishe Mwamba FAM kidogo humalizi wiki bila kumtaja.
 
Back
Top Bottom