johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pale pembeni kulikuwa na chimbo langu la " Home Alone" ππKinondoni Social hall.Hatari kabosa.
Njaa usiizishe sana ohoooKwenye shibe na njaa utaenda wapi mtoa mada?
Kumbe ndiyo maanaPale pembeni kulikuwa na chimbo langu la " Home Alone" ππ
Mmebaki mnatafutiza baada ya dua lenu kufeli, hamna cha kuisema chadema.Hili jambo huwa linanishangaza kidogo kwa sababu CCM ni nguli wa Muziki wa Jazz, Kwaya na Ngoma za Kienyeji
Zamani huwezi kuwa mjanja wa Mjini kama hutimbi Mbowe Hotel baadaye Billicanas
Watoto wa Mjini ndio waliendaga Amana Social Hall kwa akina Msondo
Kuna tofauti Kati ya Wajanja wa Mjini na Watoto wa Mjini mfano Mbowe na Pedeshee Amos π
Ahsanteni sana