shamzugi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 535
- 1,115
Salaam,
Niende moja kwa moja kwenye uzi. Kila mwanaume au mwanamke kuna vitu anavutiwa navyo kwa jinsia tofauti.
Kwa mwanamke huwa nikiona tu mistari ya nyuma ya goti nakuwa hoi, lakini pia akiwa mweusi na ile mistari huwa inaonekana vizuri na hapo ndipo utamu unapokua kolea.
Ila pia wanawake wenye maziwa makubwa huwa navutiwa nao sana, na hili nililiona tangu nilivyoanza kubalekhe, nilipenda na hadi leo napenda sana wanawake wenye maziwa makubwa.
Sambamba na hilo, walionizidi umri, yaani kuanzia 40 and above huwa nawapenda mno, mi nipo around 30.