Lipia tangazo.Salaam, niende moja kwa moja kwenye uzi. Kila mwanaume au mwanamke kuna vitu anavutiwa navyo kwa
Picha basi ili tuelewe vizuri bandiko lako.Salaam, niende moja kwa moja kwenye uzi. Kila mwanaume au mwanamke kuna vitu anavutiwa navyo kwa jinsia tofauti.
Kwa mwanamke huwa nikiona tuu mistari ya nyuma ya goti nakuwa hoi, lakini pia akiwa mweusi na ile mistari huwa inaonekana vizuri na hapo ndipo utamu unapokua kolea, ila pia wanawake wenye maziwa makubwa huwa navutiwa nao sana, na hili nililiona tangu nilivyoanza