Huwa nikiwambia tuibadiLishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani

Huwa nikiwambia tuibadiLishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Huwa nikiwambia tuibadirishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani.

Tungezalisha petroli yetu kupitia gesi bei ya dunia isingetuathiri.
 
Mwambie Geologist Polepole akishirikiana na engineer bashiru waanze zoezi Hilo mara 1.

Nchi hii ni tajiri saaana.
 
Mabivicha sasa hivi hayajui yasifie au yaponde
 
Mkiambiwa mbadilishe katiba ya nchi ili viongozi wawekewe mipaka ya maamuzi yao, wasiwe wanajipandishia kodi hovyo hovyo na kiholela pia wawajibishwe wanapo vuruga, mnatukana.

Sasa endeleeni na ujuha wenu mpaka Yesu ashuke.
 
Bei tumeiongeza wenyewe si "mama" amesema tumeongeza sh 100 kwa kila lita ili tujenge mabarabara vijijini
 
Hata tukihamia kwenye gesi, demand ikiwa kubwa na huko watapandisha...
 
Back
Top Bottom