Uzi wa kipopomaWakuu hii tabia imekaaje?
Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.
Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa naona kabisa list ya majina ya watu waliopost status zao.
Je hii ni dalili ya ubinafsi au ni kawaida tu?
[emoji38][emoji1][emoji38] imebidi ncheke tu.mpk kufikia umelitafakari na kujistukia ushazifungua kwa njia ya panya (satus sever) hadi unajihisi wamekuona.
Petrol itashuka bei mkuu usijali.Uzi wa kipopoma
na Namba yake umeitunza kabisa,hutaki jitesa mwenyeweMi naangalia za ex wangu
kwahyo magrp nayo hivohvo?[emoji38][emoji1][emoji38] imebidi ncheke tu.
Nimeamua kuuliza hapa maana kila nkienda kazini staff wenzangu wanasimuliana mno vitu walivyopost status, sometimes najihisi labda sina ushirikiano na wenzangu ila najikuta niko na tabia hiyo hiyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huna lolote unasave MBs zako 7
Confidence+Ushamba×Ujinga=Kiburi.Wakuu hii tabia imekaaje?
Sometimes huwa nawaza labda wadau wananichukuliaje maana kwangu hii ni tabia sugu.
Sijawahi kuweka status whatsapp na huwa sifungui kabisa status za watu japo huwa naona kabisa list ya majina ya watu waliopost status zao.
Je hii ni dalili ya ubinafsi au ni kawaida tu?
Ni kawaida kabisa mkuu.Wakuu hii tabia imekaaje?