Huwa siwezi kabisa....

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakuu,mimi nina tatizo moja,chumba changu ni self{yani kina choo na bafu humo humo}tatizo ni kwamba,huwa siwezi kukata gogo mbele ya mpenzi wangu,lakn mwenzangu yeye naona hata huwa hajali,anaweza aingie ashushe mzigo wake hapo na vijambo juu lakini mim nimeshndwa kabisa,nahisi aibu!nishaurini nin cha kufanya jaman.
 
Reactions: KUN
Mmmh, kwani hicho choo hakina mlango?
 
uwiiiiiiii u have made my morning! kha!
 
Hii nayo kali. Ushauri wa nini, kwani hiyo ni sifa ya kutafuta?
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiii pole, ni mpenzi wako wa kwanza?
au haujamzoea bado?
usijali in time utaweza tu...wenzio tunajam*a kabisa
 
Usijali itafika wakati utamzoea na kuweza kushusha mzigo hata yeye akiwa chumbani.
 
Kwani hicho choo hakina mlango??? Halafu kama unaona aibu kukata gogo huwa humpi machine?????
 
Mmmh, kwani hicho choo hakina mlango?

mkuu,mayb nlikosea kueleza,ni hivi ni chumba chenye self ya kishkaji,yan choo na bafu viko sehemu moja,so ukitaka kuoga au kukata gogo ni humo humo,sasa huwa tuna kawaida ya kuoga wote,ila mwenzangu ndio hivo tena naweza nikawa naoga yeye anakata gogo hapo pembeni bila hata kunionea aibu!
 
Reactions: KUN
Siyo kila kitu nicha kupost!
Akili tunazo, matumizi hatuyajui.

Hivi ni ushauri gani hapo unautegemea?
Mnafanya tuamini hakuna sifa za kuoa, yan hadi swala la toilet unataka ushauri?

Nafikiri ni vizuri ukatafakari kabla ya kuweka uzi.
 
Mimi na mpenzi wangu hatuna noma. Kama ni kujamba na kukata gogo kama kawaida
 
wapiiiiii mechekajeeee lol ukizoea au ukikua utajiachia tu na pia ukishikwa na ushuzi usiobanika nn mbele ya mpenzio hata mbele ya kadamnasi waweza uachia hasa ule ufusiiiiiiiii
 
zuga kama unamtuma kitu duka la mbali kidogo alafu download fasta kiasi kwamba akirudi wala hawezi shtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…