mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Hawa viongozi wana akili kweli wanaona jinsi China inavyohangaika na hili gonjwa halafu wao kwanza ndio wanafanya misifa ati wanasema wasafiri wote wako salama.
Mkenya gani aliyenda kuwapima huko China na kuiletea taarifa serikali? Akili za panzi
Wafukuzwe kazi maana wana akili ndogo sana hawa
Covid-19 ikiivamia hata hiyo pesa na misifa yenu hamtaiona