Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Nina jamaa yangu yeye ana bahati sana na wanawake wanaoitwa Marry, yaani akikutana na mwanamke wa jina hilo huwa hatumii nguvu wala nini.
Wakati huo huo, yupo mwingine yeye akikutana na mwanamke mwenye makalio huwa hawakosi. Yaani hii kitu ipo sana, unakuta kuna jamaa yeye huwa anakuwa na wanawake wenye makalio makubwa tu mpaka unajiuliza.
Hivi huyu jamaa mademu wake zake huwa anawatoa wapi? Au jamaa yeye huwa anapata wanawake wafanyakazi tu si kwa kuwatafuta kinguvu ila ina happen tu automatic.
Hata wanawake wapo ambao yeye kila mwanaume anayemfuata kumtongoza anakuwa mwalimu tu mwanajeshi tu. Unakuta mwanamke kaachana na askari magereza baada ya muda anatembea tena na askari magereza.
Wewe je una kismati na mademu gani?
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)