Huwa unajisikiaje usipokuta mambo haya

Huwa unajisikiaje usipokuta mambo haya

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Sherehe isipo kuwa na mambo haya huwa unajisikiaje
Bia (Pombe) mbadala wake yapo maji ya uhai makuuubwa Na siyo Kilimanjaro
Mziki mzuri mbadala wake kuna radio ndoogo tu ya kichina ambayo haitumii hata remote
MC mzuri ako Na comedy mbadala wake yupo mzaramo mmoja anaongea sana
 
Back
Top Bottom