Huwa unakagua Simu ya Mpenzi wako? Nini kinakusukuma kufanya hivyo?

Ni wivu tu japo muda mwengine kweli ndo naenda huko huko ila naichukulia kiutani utani!!
ni muhimu kidume kuwa na mcheps mwanawane otherwise utakufa na presha. ata mke nae muhimu kuwa na mcheps awe anajifunda style mbali mbali huko nje ila usigundee tuu. ukigundua basi asikunyime threesome na mngoni wako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ndo balaa moto utawaka!! Ashaga wai niletea style fulani nikaisi kuna boya kaingia mchezoni maana alisafiri kaja na perfume ya milioni1 na laki3 ninavyo mjua ni bahili hasw nikajua hapa tayari......πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ niliona nikipiga nitauwa niliiba ile perfume nikaenda kumpa mchepuko” na alivyo rudi hakuuliza ikowapi alikaa kimya maana alijua nitazibuka vibao na nitaulizwa maswali ambayo sina majibu akamute nikakaushq maisha yakaendelea
 
Siku 1 nilishika simu ya kijana mmoja nikagundua anaingiliana na rafiki yake 🫒
Nililia kwa sauti kuu huku nimeweka kiganja kufunika mdomo watu wasisikie.
Huyo Kijana anaingiliana na rafiki wa jinsia yake?
Fafanua DA rubii. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu mtindo wa kukaguanaa cm, sihitajiii na sitakii, kwa Kifupi sitaki Cm yangu ishikwe na mtu tofauti na mie, unless nimpe kwa ridhaa yangu.

Cm ina mambo mengii sanaa, mengine yanakuwepo kibahati mbaya tyuuh. Aaaaah
 
Sipendi kukaguliwa simu. Respect my privacy. Akikagua simu mwanamke yeyote namuacha bila mjadala.
 
Huyo Kijana anaingiliana na rafiki wa jinsia yake?
Fafanua DA rubii. Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo hivyo yaani ni hudhuni 🫒nilipatwa msiba mayowe niliyoachia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…