Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba busu ni kitu muhimu sana katika kukuza UPENDO.
Imefahamika kwamba kumbusu mwenza wako wakati wa kutoka nyumbani, kuteremka garini na wakati wa kurudi nyumbani au wakati wa kuagana mmoja wenu anaposafiri, hujenga mahusiano Imara sana. Busu limechukuliwa kama ni dawa (Remedy) ya kufufua uhusiano unaofifia fifia.
Je wewe huwa UNAMBUSU Mpenzio??