Huwa UNAMBUSU??

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,230
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba busu ni kitu muhimu sana katika kukuza UPENDO.

Imefahamika kwamba kumbusu mwenza wako wakati wa kutoka nyumbani, kuteremka garini na wakati wa kurudi nyumbani au wakati wa kuagana mmoja wenu anaposafiri, hujenga mahusiano Imara sana. Busu limechukuliwa kama ni dawa (Remedy) ya kufufua uhusiano unaofifia fifia.

Je wewe huwa UNAMBUSU Mpenzio??
 

mara zote......kila saa....kila mahali.....

 

huuu wimbo unasisitiza dhana nzima ya mabusu.....................ing awaje mwasisi wake angelipenda apigwe busu yeye kwanza.....................na mengineyo yafuate.......lol




 
Last edited by a moderator:
yes absolutely,everytime,hata kwenye sms,email,simu
 
Kiss me through the phone....mwaaaaah!!!
 
Kila ninapokutana nae hata ndani kwenye korido huwa nambusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…