Huwa UNAMBUSU??

hahaha! Nyani jamani amenioverdose mabusu.... Mme wangu akija hapa sijui kama patatosha.
Hivi Nyani hajui kwa ugumu huu wa maisha watu tunashindia Ugali kwa Kachumbari hivyo kunuka midomo ni kawaida!!?
 
Well said!kisses...kisses ...kisses
 
Hivi Nyani hajui kwa ugumu huu wa maisha watu tunashindia Ugali kwa Kachumbari hivyo kunuka midomo ni kawaida!!?

kachumbari inachachia mdomoni? NyAnI KaNigaNDA HuoNi hAdi MKoNo uNaTeTemEkA kuAnDika...!
 
kachumbari inachachia mdomoni? NyAnI KaNigaNDA HuoNi hAdi MKoNo uNaTeTemEkA kuAnDika...!
Hiyo ni "French Kiss" sijui nikusaidieje maana huwa inawalegeza wanawake!!
 
Mara moja moja nikikumbuka tukiwa tunaagana, natoka nyumbani au ninavyoingia nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…