Huwa UNAMBUSU??

Baada ya kazi ngumu ya kupigika na box na visirani vya kufokewa na boss nahitaji mpenzi wa kunibembeleza,si kwa maneno ila kunitomasa tomasa kwa mikono yake laini yenye bangili,anipe busu mwanana la kunipumbaza ............!
 
Sasa mikono yako mbona inatetemeka mpaka unashindwa kuandika vizuri, au french kiss imekumaliza?

hahaha! Duh, kukisi si kazi ndogo. Huoni hamisi anaomba maji. Halafu nataka kumbusu preta, inaruhusiwa?
 
hahaha! Duh, kukisi si kazi ndogo. Huoni hamisi anaomba maji. Halafu nataka kumbusu preta, inaruhusiwa?
Mbusu shavuni ukimbusu mdomoni yatakuwa makubwa kama ya Madonna na kale kabinti katundu!!
 
Ila sasa mtu mwenyewe awe anajua kukiss sio kujazana mate tu mdomoni. Mkiwa wataalam hata hamna haja ya kukumbushwa, yani wakati wowote, popote inakuja yenyewe.

Raha sana!!
 
Ila sasa mtu mwenyewe awe anajua kukiss sio kujazana mate tu mdomoni. Mkiwa wataalam hata hamna haja ya kukumbushwa, yani wakati wowote, popote inakuja yenyewe.

Raha sana!!
Si afundishwe ili asiwajaze watu mate mdomoni!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…