Suali liko wazi. Humu sote ni watu wazima na wenye akili timamu na tunajua nini cha kufanya.
Nataka kujua ikibidi,hivi huwa unatumia kigezo gani au vigezo gani kumpa mtu like ?
Je unampa like mtu kwa kuokoa muda au kwa sababu ni rahisi kutoa like ?
Je kama like ni kuvutiwa na kitu au maoni ya mtu,je huoni kama like haitoshelezi katika kuwasilisha hisia zako juu ya kile kilichokuvutia miongoni mwa maoni ya wadau ?