Wewe una mshahara? Mkuumaamuzi tu kutoa likes hakupunguzi wala kuongeza mshahara wengine hutoa kwa kumkubali mtu
ha kazi sina napataje mshahara??Wewe una mshahara? Mkuu
Emu like kwanza
Kwangu inatosha kabisa kuwasilisha hisia zangu (yaweza kuwa natania pia). Hata mtoa hoja nimekupa pia like japo sijui ni hisia zipi naziwasilisha kwako.
Kama pumba zangu eeeehhhh....[emoji12] [emoji12]1.akiongea pumba za kuchangamsha kijiwe
2.akitoa mchango positive au negative wenye fact
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna faida wala hasara nayoipata.Kwani unapata hasara au faida gani kwa kubania like yako ?