Huwa unatumia kigezo gani kumpa mtu likes humu jf ?

watoa like maarufu bila sababu
Shunie
Mwifwa
bbae
Sesten Zakazaka
love b
mumu
Ushimen
Raynavero
Mzigua90
Ambiele Kiviele
Hajar
Maxence Melo
yna2
Demiss

wapo wengi siwezi kutaja wote hapa nimesahau wengine wao wanatoa tu haijalishi pumba wala point
Hahaaaaa. Lol

Mdogo wangu mie dada yako kwa kila rafiki yangu, Swahiba wangu kaka yangu, ndugu yangu wa humu jf basi siwezi pita bila kumpa likes kwa chochote atakachoandika.

Na wengine ni wale wanavyoandika vitu ambavyo kwa upande wangu naona ni vitu vya msingi na vyenye kujenga.

Kwani Sh ngapi kutoa likes. Natoa tu kwa kweli.
 
kula like dada, we toa tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…