Huwa unawaza nini.....!!!

Pomole

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
257
Reaction score
7
Ile siku ya kwanza umeahidiana na mwenzio kwenda kula tunda aka kuchakachua ulikuwa unawaza nini?Hadi leo ukiwa na ahadi hiyo huwa unafikiria nini katika kuifikia shughuli yenyewe hasa ukiwa na partner mpya!!!Kuna kitu huwa unawazia tena baada ya mchezo au unaaga tu..lets go bcoz haina mantiki tena!!!or let me chill
 
:embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2::washing:
 
Mi huwa nawaza nikimkuta na jinsia mbili patachimbika.
 
kut............................ana... au kuna kingine
 
Kama naweza kumpiga picha tu
hayo ndo huwa nawaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…