Mtandao unahitaji vitu hivi ili kuweza kufanya mambo yako na yakanyooka.
1.Epuka kufake maisha,utaishia kujilaumu Kwa kupoteza muda wako bure na hiyo WiFi ya bure.
2.Usipende kutumia lugha ya matusi,utakuwa huru zaidi.
3.Usipende kukosoa,na kutaka sifa mtandaoni utaishia pabaya.
4.Ikiwa utaamua kueleza maisha yako,ni rahisi tu ,piga chenga ya mwili hakuna mtu ataunganisha matukio.
5.Epuka kutumia utambulisho na picha isiyo ya jinsia yako ni mbaya sana