Acha umbeyaMamdenyi typing
Kuna mzungu mmoja anatabia yakunipita tu bila kunipa salamu na hajawahi kunisemesha hata siku moja sasa kunasiku kapita sijui anaenda kufanyeje uko anajua mwenyewe kumbe njiani alipotoka kuna watu wanamdai pesa naisi walikuwa mafundi kumbe walikuwa wanamdai walivyo Kutana wakaanza kupigana, yule mzungu akaenda kushtaki polisi kwamba kapigwa, polisi wakamwambia apeleke mashaidi sasa alivyokuwa mjinga akanifata mimi niwe shahidi yake sasa mimi nikajiuliza huyu anisalimiagi ananionaga kama takataka leo hivi kapata tatizo ndiyo ana jifanya kunisalimia, sasa namimi nikawa simjibu akiniongelesha najifanya nipo Bize na saingine nikimuona tu namuangalia kama takataka, uzuri wake na yeye kashajua.yaaan nimefikia level ambayo hata nisingiziwe jambo lolote kubwa moyo wangu haushituki, mtu akiniletea dharau na kiburi mwsho wa siku huanza kulalamika yeye kwamba mimi nina jiona nina ringa... Inshort najua kupuuzia mtu hata awe amenizidi kwa kilakitu lakin lazima atajiona hana thamani.
Sikuzote jifunze KUPUUZIA watu ambao wanajiona wao ni bora kuliko wewe, ukiweza hili hata awe na nguvu au cheo utamuona ni ng'ombe tu kama ng'ombe wengine...