Gharama haiwezi kufikia bei hiyo ata serikali wangeshindwa kununua hizo dawaHuwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?
Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.
Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa sehemu ya kutumia silaha hii kukandamiza na kufanya mataifa mengi kuwa tegemezi kwake..
Swali
Wizara ya afya na wadau mbalimbali mmejipanga vipi hali hiyo ikitokea? Mmeshafikiria njia mbadala ya kutengeneza dawa pia?
View attachment 2687223
Sio kila mwenye ukimwi ni mzinzi...wapo wa kuzaliwa nao na pia ajali na mambo mengineKwani tuliishije hapo awali? Tujifunze kuwa na tabia nje, uzinzi ni kifo
kama kuelewa maandishi ya kimikataba ni ishu kubwa kuelewa haya yanayohitaji tafiti na kuumiza kichwa itakuwajeViongozi wengi WA Dunia ya tatu wana ujinga mwingi Sana ,
miaka yote Wanapokea misaada ya ARv wameshindwa kuanzisha ata kiwanda bubu [emoji706][emoji3061]
Waisit8she tu ili wagonjwa wapungue, wanatuulia binti zetu na baba zetu maana anakunywa anapendeza wazee wenye mipesa wakimwona wanauza mechi, vibintiviasthirika huwa havitembei na chupiHuwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?
Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.
Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa sehemu ya kutumia silaha hii kukandamiza na kufanya mataifa mengi kuwa tegemezi kwake..
Swali
Wizara ya afya na wadau mbalimbali mmejipanga vipi hali hiyo ikitokea? Mmeshafikiria njia mbadala ya kutengeneza dawa pia?
View attachment 2687223
😅😅😅 ila kwenye suala la kuuza mechi mwanamke akiamua kukuuzisha mechi ni vidume wachache sana wanaweza kukataa wengi hushtuka pale washamwagia ndanivibinti viasthirika huwa havitembei na chupi
😅😅😅 ila kwenye suala la kuuza mechi mwanamke akiamua kukuuzisha mechi ni vidume wachache sana wanaweza kukataa mtego huo wengi hushtuka pale washamwagia ndaniWaisit8she tu ili wagonjwa wapungue, wanatuulia binti zetu na baba zetu maana anakunywa anapendeza wazee wenye mipesa wakimwona wanauza mechi, vibintiviasthirika huwa havitembei na chupi
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Unazaliwa bila zinaa?Sio kila mwenye ukimwi ni mzinzi...wapo wa kuzaliwa nao na pia ajali na mambo mengine
Serikali hainunui ni msaada kwa hisani ya watu wa USA ndio maana ameuliza serikali imejipangaje endapo watasitisha msaada huo.Gharama haiwezi kufikia bei hiyo ata serikali wangeshindwa kununua hizo dawa
We jamaa una Virusi Vya Ukimwi (HIV)wasiwasi wako huna imani na serikali ya ccm endapo ikitokea Marekani kasitisha msaada wake, na mtakufa kweli kweli.Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?
Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.
Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa sehemu ya kutumia silaha hii kukandamiza na kufanya mataifa mengi kuwa tegemezi kwake..
Swali
Wizara ya afya na wadau mbalimbali mmejipanga vipi hali hiyo ikitokea? Mmeshafikiria njia mbadala ya kutengeneza dawa pia?
View attachment 2687223
Hakuna cha bure ndugu yangu neno msaada ni mkopo ambao riba yake ni ndogo ni kama mkopo huu wa covid mama aliochukua benk ya duniaSerikali hainunui ni msaada kwa hisani ya watu wa USA ndio maana ameuliza serikali imejipangaje endapo watasitisha msaada huo.
Hizi gharama ni kwa aina ipi ya DAWA/REGIMEN !!!???Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?