samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Naomba kushirikishana juu ya kuzingatia afya zetu najuu ya kumuamini dactari mmoja, hapa Morogoro mjini, ninandugu yangu alipimwa na dactari na kuambiwa anauvimbe mkubwa tumboni, amefanya checkup mara tatu na dactari huyohuyo nakuambiwa majibu yaleyale, akapewa apointment ya kufanyiwa upasuaji, kilaalipopangiwa Dr alipata dharura zaidi ya miezi 5 hukuuvimbe ukikua kwa kasi, ndipo alipoamua kwenda Dar kwa upasuaji, walipo mpima wakamwambia hana uvimbe ni ujauzito wa miezi 8, nakwakuwa umri wake ulikuwa umeongezeka, hakushtuka pamoja hakuona siku zake. Je huyu docta alitaka kuua kiumbe kisicho na hatia? Au ni taaluma ndogo? USHAURI WANGU UNAPOFANYA UCHUNGUZI JUU AFYA YAKO HUDHURIA HOSP TOFAUTI ILI KUJUA UKWELI WA TATIZO LAKO NA TIBA SAHIHI. Tunamshukuru mungu mtoto anaumri wa miezi 11.