Huwezi amini haya yametokea

Uja uzito wa miezi nane halafu mwenye ujauzito hajahisi chochote? ..yaani hata huyo kiumbe tumboni alikuwa hajigeuzi geuzi? Yaani mwenye mimba hajahisi chochote?..daah!.. amakweli nchi hii ina watu wa kila aina!..miezi nane?

Ata me nilitaka kusema ivyo ivyo tumekalia lawama tu
 
Sasa usipomtaja si unataka wengine wafe! Kama kweli umetaka watu wawe na tahadhari na ikiwa hili jambo ni kweli lilitokea unaogopa nini kumtaja! Kesho atakufa ndugu yako mikononi mwako

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ukiangalia ishu ndogo hivi halafu utaalam ziro,wanashindwa hata na wale vibibi wanaowasaidia wanawake kujifungua hospitali inapokuwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…