Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Naamini mmekuwa na siku njema ya Sabato
Wapo watu wanadharau wauzaju wa Mbogamboga na matunda magengeni wakiwaona ni watu wa hadhi ya chini na wasiokuwa nadhifu
Hata hivyo hali.ni tofauti Kwa Wenzetu kwani Biashara hiyo inalipa Kiuchumi na wauzaju wake wapo nadhifu.kabisa
Tujadili pamoja
Usiku mwema.