Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

UPUUZI MTUPU!!! Kadanganye wapuuzi wenzio wasiojua wizi, ufisadi, unafiki, uongo, ukatili na uuaji wa dhalimu magufuli. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana kwa kutuondolea nchini hilo janga kubwa sana la Kitaifa.

 
Ulitabiri vyema ila hawatajua kwamba oil chafu iliwachafua mpaka 2025 ndo watajua na hakuna wa kuwaokoa tena,Kama oil chafu alivyowaokoa wengi hasa wabunge.
 
Kwani kuna usajili mpya wa buku 7.....?
 
kwani wewe unataka kusemaje hapo sasa,sio unamwaga povu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…