Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Unapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo!
Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi ni kama ndiyo damu na pumzi inayoifanya CCM iwe hai.
Siasa za ndani ya CCM zinahitaji Hela nyingi mno kuziendesha. Na matumizi makubwa ya Hela hizo huwa kwenye kutengeneza mitandao ya wapambe, kuhonga wajumbe wa vikao vya maamuzi na mwisho wa siku kuhonga wapiga kura za maoni.
Kwa kweli hapa ilipofikia CCM haiwezekani kuitenganisha na rushwa. Humphrey Polepole aelewe hilo.
Bila rushwa hutoboi CCM.Wako Pamoja Na Mpaka Mwenyekiti Anajua
Sasa hivi kumezariwa utekajiUnapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo!
Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi ni kama ndiyo damu na pumzi inayoifanya CCM iwe hai.
Siasa za ndani ya CCM zinahitaji Hela nyingi mno kuziendesha. Na matumizi makubwa ya Hela hizo huwa kwenye kutengeneza mitandao ya wapambe, kuhonga wajumbe wa vikao vya maamuzi na mwisho wa siku kuhonga wapiga kura za maoni.
Kwa kweli hapa ilipofikia CCM haiwezekani kuitenganisha na rushwa. Humphrey Polepole aelewe hilo.
Safari hii Wajumbe walishajiapiza kwamba Mwenye hela ndiye atakayechaguliwa.Unapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo!
Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi ni kama ndiyo damu na pumzi inayoifanya CCM iwe hai.
Siasa za ndani ya CCM zinahitaji Hela nyingi mno kuziendesha. Na matumizi makubwa ya Hela hizo huwa kwenye kutengeneza mitandao ya wapambe, kuhonga wajumbe wa vikao vya maamuzi na mwisho wa siku kuhonga wapiga kura za maoni.
Kwa kweli hapa ilipofikia CCM haiwezekani kuitenganisha na rushwa. Humphrey Polepole aelewe hilo.
Jafary kagawa sana Mlungula hapo Rorya?Uko sawa kwa asilimia 100. Jimbo la Rorya ndiyo kumetisha kwa rushwa.
Siyo Hela nyingi (Kwa wao) maana kama wanakwapua hadi shilingi trilioni 1.8, hizo shilingi milioni 300 ni kitu kidogo kwao.Jafary kagawa sana Mlungula hapo Rorya?
Nasikia kila mjumbe alikuwa anapewa 50K, hawa wabunge wana pesa aiseee duu. Imagine 50K kwa kila mjumbe kwa wajumbe 6000
Hili jambo linajulikana na kila mtanzania!!CCM kama Hauna Hela hata wajumbe watakushangaa na kukuzomea pia.