Huwezi Kujiita timu barani Africa kama hujawai kukumbwa na adhabu ya kuzuiwa mashabiki kuingia uwanjani

Ubaya Ubwela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
1,353
Reaction score
3,060
huwezi ukajiita timu kubwa wewe shabiki na timu barani Afrika alafu hujawahi kufugiwa kuingiza mashabiki uwanjani hata kwa mechi moja timu nyingi kubwa Africa imeshawahi kukubwa na adhabu hii kwaiyo Mwanasimba Jipige kifuani jiambie mimi ni kidume Siwezi kupigwa Nyumbani


Mwanaume hauwezi kupigwa Nyumbani kwenu lazima ujitetee kwa kurudisha mashambulizi kwa kipigo kizito
 
Nyie ndo wale mnasema unajiita malaya na haujawahi kufiswa ili tuu kutetea upumbavu wenu
 
Watavunjaje viti tuwatazame tu,heko kwa waliolipiza kuvunjwa viti kwa kichapo.viganja vikikunjwa huitwa ngumi.
 
Ukichaa a.k.a udunduka a.k.a wehu kwenye kiwango cha SGR..!!
 
Kujisifia ujinga, ndo wale wale wa mwanamke lazima uwe na mafiga matatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…