la Jeneral
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 392
- 57
Halafu kabishe hodi kwanza....! Unaingia tu hadi kwenye chumba cha wakubwa, hata sebuleni hujapitia......?uzoefu wa maisha hasa ya mapenzi inasadikika kwamba mnapogombana na kupatana ndo kuimarika kwa mahusiano na maisha ya furaha,je kuna ambao wapo kwenye mahusiano ambayo nimteremko tuuu,i mean hawagomban?nini siri ya mafanikio,nawasilisha
πlane:na mie naunga kwa nyuma:smile-big:πlane:πlane:nawai mie
Halafu kabishe hodi kwanza....! Unaingia tu hadi kwenye chumba cha wakubwa, hata sebuleni hujapitia......?
Most of the times, experience does not be built only by the duration spend in a certain area.....! but normally it comes out of challenges faced, approaches used to deal with them, situations they happened, number of often to happen, and success attained against them....! Your face would show that you might have experience on this, but may you tell us how often you find these misunderstandings, what types, and how did you go about them? Aidha, umekata tamaa na hivyo ikakulazimu ukubaliane na situation....!
thanks afrodenz,peke yako umenitetea ni pm kuna zawad yako mahsus 4u:kev:jamani jamani kona kali..
akabishe hodi ya nini mkuu..
jamaa tayari yuko hapa tangu mwaka jana lol.
πlane:πlane:nawai mie
thanks afrodenz,peke yako umenitetea ni pm kuna zawad yako mahsus 4u:kev:
πlane:na mie naunga kwa nyuma:smile-big:
mmmhh mambo madogo tu haya dear..
wewe umefika hapa kabla yangu
lazima nikupe heshma zako dear..
thanks afrodenz,utani pm lini jaman?