haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Hakuna anaeweza kulipa fadhila alizotendewa hata kidogo, ila unachoweza kufanya nikua mwema au kunlmtendea mema aliekutendea wema.
Baadhi husema kauli " Kulipa fadhila", si kweli, imagine mtu aliekusaidia shilingi miatano ya daladala uwahi interview ya kazi na ukapata kazi hiyo, kwakua ulikua huna, dhaman ya miatano ile ni kubwa kuliko chochote, in short inauzito wa yale yote ulioyafanikisha kutokana na miatano ile.
Hivyo, hakuna anaeweza kulipa fadhila, ila unaweza tu kumtendea wema, yule aliekufanyia fadhila.
Ikiwa wewe ndie ulietenda wema, basi pia kumbuka, tenda wema uende zako.