Expert Judgement
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 442
- 730
Mimi binafsi siwezi kusahau tukio linalonitia simanzi hata leo ninapoandika ujumbe huu
Siwezi kusahau nilivowashindisha njaa waombolezaji kwenye msiba wamama (walikula baadae kwakuchelewa) msiba hauna taarifa pia kuuguza kwamuda mrefu kupelekea kuishiwa akiba ndicho kilichonikuta mm watu wamekuja wengine wamesafari kutoka mbali asubuhi chai ya kuunga unga, mchana pakawa hapasomeki mimi naumiza kichwa watoto wawaombolezaji nao wamecharuka kulia njaa, mpaka saa KUMI na moja jioni ndio nasolve masuala ya menu. Msiba ukaenda siku tatu hivi ila Kuna ndugu mmoja mngese Sana tumepanga kununu sanduku yeye anasema Hilo sanduku la Bei ndogo Mimi naongeza pesa tupate sanduku zuri zaidi ikiwa tulilokua tumelipigia budget halina shida yoyote..
Moment hiyo huwainanipa Sana uchungu na morali yakupambana kutafuta pesa kwa kila mbinu
Je wewe umepitia tukio GANI la KIHUZUNISHA?